Mhe. Judith Kapinga (Mb), Waziri wa Viwanda na Biashara akiongea na Menejimenti ya TBS wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa Viwango House jijini Mwanza mapema leo.